HARAMBEE YA VIFAA TIBA

Venue: BULONGWA HOSPITAL

Date: 11/15/2026

Uongozi wa KKKT Dayosisi ya Kusini Kati umeandaa harambee ya kuchangia vifaa tiba kwa ajili ya hospitali ya Kilutheri Bulongwa itakayofanyika tarehe 15 November 2026

Mgeni rasmi atakuwa Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.