Date: 09/15/2026

Hospitali ya Kilutheri Bulongwa imeandaa harambee ya kuchangia vifaa tiba itakayofanyika tarehe 8 Oktoba 2026. Mgeni rasmi kwenye tukio ili atakuwa ni Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.